KONGAMANO LA KWANZA LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA AFRIKA MASHARIKI LAFANYIKA ARUSHA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam  Wadau mbalimbali kutoka Nchi za Afrika Mashariki wamekutana jijini Arusha katika  Kongamano la kwanza Nishati Safi ya Kupikia la Afrika Mashariki linalolenga kujadili masuala mbalimbali yatakayowezesha Jumuiya hiyo kuondokana na matumizi ya Nishati isiyo safi ya kupikia na kwenda kwenye nishati safi ya kupikia. Akimwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri…

Read More

VIONGOZI WA DINI WATAKIWA KUJITENGA NA SIASA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam VIONGOZI wa dini katika madhebu mbalimbali nchini wameshauriwa kuacha kufanya siasa na wala kuwa sehemu ya kuwa wachochezi kwakuwa wao ni sehemu ya kimbilio pale ambapo nchi itakuwa na changamoto huku wakikumbushwa wajibu wa kuliombea Taifa la Tanzania hasa katika mwaka huu wa Uchaguzi Mkuu. Pia kwa waumini wa dini…

Read More

WAANDISHI WA HABARI KUANZA KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA TAI-HABARI – MSIGWA

Na Mwandishi Wetu, Shinyanga Serikali imesema vitambulisho vya Uandishi wa Habari (Press Card), vitaanza kutolewa wakati wowote baada ya siku saba kuanzia leo Mei 3, 2025 baada ya Waandishi wa Habari kuanza kujisajili rasmi kwenye mfumo wa TAI-Habari. Mwandishi wa Habari ataanza kujisajili kupitia kiunganishi cha https://taihabari.jab.go.tz kisha kufuata maelekezo yaliyotolewa ili kukamilisha kujaza fomu…

Read More