MAENEO YALIOATHIRIWA NA MVUA BARABARA YA DAR-LINDI-MTWARA YOTE NI SHWARI
Barabara ya Dar es salam-Lindi-Mtwara sasa imerejea katika hali ya kupitika baada ya kukamilika urejeshaji…
Na Asha Mwakyonde, DODOMA WIZARA ya Katiba na Sheria imesaini mkataba wa makubaliano na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) pamoja na Shirika la Legal Services Facility (LSF), kwa lengo la kupanua na kuimarisha huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi ili waweze kupata haki zao kwa urahisi zaidi. Kupitia makubaliano hayo, Chuo Kikuu cha Dodoma…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemkamata raia wa Kenya, Kilonzo Mwende (35) na gramu 131 za heroin ambapo mtuhumiwa huyo alikuwa akiishi nchini tangu mwaka 2023 akijifanya mfanyabiashara wa kuuza chai ya maziwa katika ofisi mbalimbali. Akizungumza jijini Dar es Salaam Januari 8, 2026 Kamishina…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata kilogamu 9,689.833 za dawa za kulevya, pikipiki 11 na magari matatu likiwemo basi aina ya Scania la kampuni ya King Masai Tours, lenye namba za usajili wa nchi ya Msumbiji namba AAM 297 CA. Basi hilo linalofanya safari zake za…
Na Asha Mwakyonde, Dodoma MAMLAKA ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) leo imekabidhi tani 2.5 za mbegu za mbaazi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, kwa lengo la kuwanufaisha wakulima wa Halmashauri za Chemba, Kondoa na Kongwa wanaotumia mfumo wa Stakabadhi za Ghala kuuza mazao yao. Akizungumza Januari 6, 2025 jijini…
Na Asha Mwakyonde, DODOMA WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amesema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Madini imefanya marekebisho ya Kanuni za Ushirikishwaji wa Watanzania za mwaka 2018 ambapo Tume hiyo mara kwa mara itatangaza kupitia Kanuni ya 13A orodha ya bidhaa na huduma ambazo zinatakiwa kutolewa na kampuni za Kitanzania ambazo zinamilikiwa kwa asilimia 100…
Na Mwandishi Wetu,Tanga WAZIRI wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa Uganda, Dkt. Ruth Nankabirwa, ameipongeza Tanzania kwa hatua kubwa iliyofikiwa katika utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), unaotekelezwa kwa ushirikiano kati ya Tanzania na Uganda. Dkt. Nankabirwa ametoa pongezi hizo leo tarehe 6 Januari, 2026 jijini Tanga, wakati…
Na Mwandishi Wetu,Morogoro Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) ameridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bwawa la kuhifadhi maji la Kidunda na kubainisha kuwa kukamilika kwa mradi huo wa bilioni 336 kutachochea ukuaji wa maendeleo ya jamii kwa wakazi wa Mikoa ya Dar es Salaam…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuvunja rekodi yake ya ukusanyaji wa wa mapato yatokanayo na kodi ambapo kwa mwezi Desemba pekee imekusanya Sh. Trilioni 4.13 kwa sawa na ufanisi wa asilimia 102.9 ya lengo ambalo lilikuwa ni kukusanya Sh. Trilioni 4.01. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es…
Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam MWAKA 2025 umeandika historia mpya kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufuatia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika ukusanyaji wa mapato, upanuzi wa wigo wa kodi, na uimarishaji wa mahusiano kati ya TRA na Walipakodi. Mafanikio haya yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na mwelekeo mpya wa utoaji huduma unaolenga ushirikishwaji, elimu, na…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewakumbusha wateja wake kutumia nishati safi yakupikia kwakutumia vifaa vya umeme vinavyotumia umeme nafuu katika msimu huu wa sikukuu. Kupitia video iliyotolewa na Tanesco inayoonyesha wananchi wakifurahia matumizi ya nishati safi ya umeme kwa kupikia kwakutumia vyombo mbalimbali vya umeme ikiwemo majiko ya umeme ambayo…