DALILI ZA UWEPO WA GESI ASILIA ZAONEKANA KATIKA KITALU CHA LINDI-MTWARA

Na Mwandishi Wetu,Mtwara UTAFITI unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za uwepo wa Gesi Asilia, hususani katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, ambapo visima vya maji vilibainika kuvujisha gesi asilia. Utafiti huo unajumuisha jumla ya vijiji 48 katika eneo la takriban kilomita za mraba 736 ambapo vijiji 40 vinatoka katika Halmashauri…

Read More

DC MSANDO MTAA KWA MTAA KUKAGUA HUDUMA YA MAJI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Mheshimiwa Albert Msando amefanya ziara ya kukagua hali ya maji katika Wilaya hiyo sambamba na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji King’ong’o katika Kata ya Saranga ambao umeanza kutekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)utakaohudumia wakazi takribani 92,000 katika mitaa ya Michungwani, King’ong’o na…

Read More

SERIKALI IMEWEKA MIKAKATI DHABITI YA KUKABILIANA NA MAJANGA NCHINI-MAJALIWA

Na Mwandishi Wetu,Mbeya WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha ustahimilivu wa Taifa dhidi ya majanga, kupitia utekelezaji wa sera, sheria, mikakati na miradi mbalimbali Amesema kuwa hatua hiyo itasaidia kuendelea katika kujenga ustahimilivu wa jamii dhidi ya maafa, tutaokoa maisha, mali, na rasilimali za taifa letu. Amesema hayo…

Read More

TRA YAHIMIZA BIASHARA HALALI YA MADINI NA KUPONGEZA ULIPAJI KODI KWA HIARI

Na Mwandishi Wetu,Shinyanga UONGOZI wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) umeadhimisha wiki ya huduma kwa wateja na wafanyabiashara mbalimbali wakiwemo wa Madini wanaoendesha shughuli zao katika soko la Madini la wilayani Kahama mkoani Shinyanga na kuwapongeza kwa kuendelea kulipa kodi kwa hiari. Akizungumza katika maadimisho hayo wilayani Kahama Oktoba 09.2015 Kamishna Mkuu wa TRA Bw….

Read More