
MAENEO YALIOATHIRIWA NA MVUA BARABARA YA DAR-LINDI-MTWARA YOTE NI SHWARI
Barabara ya Dar es salam-Lindi-Mtwara sasa imerejea katika hali ya kupitika baada ya kukamilika urejeshaji…
Na Mwandishi Wetu,Pwani Waziri wa maji Jumaa Aweso amewatoa hofu wakazi wa mikoa ya Dar na Pwani kuhusu upatikanaji wa huduma ya majisafi mara baada ya kutembelea na kukagua maboresho yaliyofanyika katika mtambo wa kuzalisha maji Ruvu juu “Kwakweli hali inaridhisha sasa, nilitoa maagizo ya maboresho katika mtambo huu, leo nimekuja kujionea, nitoe pongeze kwa…
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), ipo katika maandalizi wa uchimbaji wa visima vitatu vya gesi asilia mkoani Mtwara kwa lengo la kuongeza zaidi uzalishaji wa nishati hiyo Akizungumza leo Julai 9, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa PURA na Mhandisi Charles Sangweni alipotembelea katika Maonesho ya 49 ya…
NA. MWANDISHI WETU – DAR EA SALAAM Mke wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Mama Janeth Magufuli ametembelea banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (SABASABA) Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na viongozi wa ofisi hiyo. Akiwa katika banda hilo, Mama Janeth…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania(TASAC) Mohamed Salum amewataka vijana kujiunga na vyuo vinavyotoa kozi za masuala ya madini kwakuwa sekta ya Usafiri Majini bado ina uhaba mkubwa wa mabaharia. Hayo ameyasema jana Julai 7,2025 na Salum wakati alipotembelea banda la TASAC kwenye Maonesho ya 49 ya…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) imeanzisha kampuni tanzu ambayo inahusika na kukuza bidhaa bunifu zinazotengenezwa kupitia vyuo vyake mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa na Mkurungezi Mkuu wa VETA, Anthony Kasole wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya 49 ya Kimataifa ya kibiashara Sabasaba yanayoendelea. CPA Kasole alisema…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amesema Wakala umejizatiti kuhakikisha 80% ya Watanzania wanatumia Nishati Safi ya Kupikia ifikapo mwaka 2034 kama ilivyoelekezwa katika Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia. Amebainisha hayo Julai 07, 2025 katika Maonesho ya 49 ya Biashara…
Na Aziza Masoud,Dar es SalaamSHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeibuka mshindi na kupewa tuzo ya kuwa na mchango mkubwa katika kulinda mazingira kupitia matumizi ya nishati safi katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam(DTIF) maarufu kama Sabasaba. Akizungumza mara baada ya kupokea tuzo hiyo, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa…
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limetoa zawadi ya majiko ya umeme kwa wananci waliofika katika banda lao lililopo katika Viwanja vya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ambao wamejibu maswali vizuri waliyoulizwa walipotembelea katika banda hilo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 7,2025 katika viwanja vya maonesho hayo, Mkurugenzi…
Na Mwandishi Wetu, Ndola Serikali ya Tanzania, kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imeweka msingi wa suluhisho la kudumu kukabiliana na changamoto ya uingizwaji wa mazao ya misitu kutoka Zambia bila vibali halali. Hatua hiyo imefikiwa baada ya kikao kazi maalumu kilichofanyika leo Julai 7, 2025, pembeni mwa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaa KAMISHNA Msaidizi Mwandamizi na Meneja wa TEHAMA na Takwimu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Harold Chipanha, amepongeza hatua kubwa za kidigitali zinazotekelezwa na TFS katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) mwaka huu. Chipanha alitembelea banda la TFS mwishoni mwa wiki…