NCHIMBI AJITOSA UDIWANI MOROGORO

Na Mwandishi Wetu,Morogoro Aliyewahi kuwa Mwenyekiti Chipukizi (CCM) wilaya Ya Morogoro Mjini na Mjumbe wa Baraza Kuu (Uvccm) Taifa – Kuiwakilisha Chipukizi,Salmini Nchimbi amechukua fomu leo ya kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Mwembesongo,wilaya ya Morogoro Mjini Mkoa wa Morogoro. Salmini ni miongoni mwa vijana wachache waliamua kugombea nafasi hiyo katika Kata ya Mwembesongo.

Read More

USHIRIKI WA TAWA KATIKA MAONESHO YA 49 YA BIASHARA YA KIMATAIFA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inashiriki katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa kwa mwaka 2025 yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere, vilivyopo barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.  Kupitia maonesho haya, TAWA inatumia fursa hii kutangaza bidhaa na huduma mbalimbali zinazohusiana na utalii…

Read More

TRA KUTOA HUDUMA YA TIN VIWANJA VYA SABASABA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imewataka wananchi wanaohitaji  kuhudumiwa masuala mbalimbali yakikodi  ikiwemo namba ya utambulisho wa biashara (TIN) kufika katika viwanja vya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba kuweza kupata huduma hiyo Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 30, 2025…

Read More