
MAENEO YALIOATHIRIWA NA MVUA BARABARA YA DAR-LINDI-MTWARA YOTE NI SHWARI
Barabara ya Dar es salam-Lindi-Mtwara sasa imerejea katika hali ya kupitika baada ya kukamilika urejeshaji…
NA MWANDISHI WETU – DODOMA KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amezitaka sekta zote kujianda kupokea wageni mbalimbali kuelekea Mashindano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) yanatayorajiwa kuanza Mwanzoni mwa mwezi wa Agosti 2025. Dkt. Yonazi ametoa rai hiyo wakati akiongoza Kikao cha Makatibu Wakuu cha…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam IFIKAPO mwaka 2050, Tanzania inajiona kuwa na Mashirika ya umma ya kibiashara yanayoendeshwa kwa uwazi na ushindani, yanayojitegemea na yenye kuleta faida, na yanayovutia uwekezaji huku yakishirikiana kikamilifu na sekta binafsi ili kukuza uchumi. Dhamira hii imeainishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 iliyozinduliwa na Mhe. Rais. Dk. Samia…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari -JAB, imempa onyo Mwandishi na Mtangazaji Mwandamizi wa Kituo cha Radio cha Wasafi Media, Diva Gisele Malinzi kwa kosa la kutangaza maudhui yanayokiuka maadili ya taaluma ya Habari na utangazaji ikiwa ni pamoja na kulazimisha kutoa taarifa binafsi za Msanii wa Muziki Ruta…
NA. MWANDISHI WETU – DAR ES SALAAM SERIKALI imeanzisha mafunzo kwa njia ya mtandao ya Afya moja (ECHO) ili kuwajengea uwezo watoa huduma wa kada za afya ya binadamu, wanyama na mazingira kwa ngazi zote. Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Dk.Jim Yonazi wakati wa uzinduzi wa mafunzo…
Na Mwandishi Wetu,Morogoro MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na TANAPA na wananchi wa maeneo ya jirani, kuanzia Julai hadi 15 , 2025 wamefanya operesheni mkoani Morogoro, hususan kwenye ushoroba kati ya Hifadhi za Taifa za Mikumi na Nyerere. Katika operesheni hiyo, ekari 614 za mashamba ya bangi ziliteketezwa,…
Na Mwandishi Wetu,Arusha WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi amesema yeyote anayefanya kazi za kihabari bila kuwa na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB anavunja sheria ya Huduma za Habari. Waziri Kabudi ametoa kauli hiyo huku akionesha Press Card yake kwenye…
📍Utalii wa michezo wahamasishwa Na MwandishiWetu, Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kushirikiana na Msakuzi Sports Promotion leo Julai 12,2025, imezindua rasmi msimu wa kwanza wa mbio za riadha zinazojulikana kama “Msakuzi Pande Game Reserve Marathon” zilizofanyika katika Hifadhi ya Pande iliyopo jijini Dar es Salaam. Akizungumza kwa niaba ya…
Na Mwandishi Wetu,Pwani Waziri wa maji Jumaa Aweso amewatoa hofu wakazi wa mikoa ya Dar na Pwani kuhusu upatikanaji wa huduma ya majisafi mara baada ya kutembelea na kukagua maboresho yaliyofanyika katika mtambo wa kuzalisha maji Ruvu juu “Kwakweli hali inaridhisha sasa, nilitoa maagizo ya maboresho katika mtambo huu, leo nimekuja kujionea, nitoe pongeze kwa…
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), ipo katika maandalizi wa uchimbaji wa visima vitatu vya gesi asilia mkoani Mtwara kwa lengo la kuongeza zaidi uzalishaji wa nishati hiyo Akizungumza leo Julai 9, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa PURA na Mhandisi Charles Sangweni alipotembelea katika Maonesho ya 49 ya…
NA. MWANDISHI WETU – DAR EA SALAAM Mke wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Mama Janeth Magufuli ametembelea banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (SABASABA) Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na viongozi wa ofisi hiyo. Akiwa katika banda hilo, Mama Janeth…