VIONGOZI WA DINI KASKAZINI WAHIMIZA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Na Mwandishi Wetu, Moshi VIONGOZI wa dini kutoka mikoa ya kanda ya kaskazini, wamewataka Watanzania kulinda amani ya nchi, hasa taifa linapoelekea katika Uchaguzi Mkuu, wakisisitiza kuwa amani ni nguzo muhimu kwa ustawi wa taifa. Viongozi hao kutoka mikoa ya Tanga, Arusha, Manyara na Kilimanjaro wametoa kauli hiyo leo Oktoba 22, 2025 katika Kongamano la…

