 
        
            UMEME JUA KUCHOCHEA UCHUMI MAENEO YA VIJIJINI
Na Mwandishi Wetu,Lindi SERIKALI Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imepeleka Mkoani Lindi Mradi wa Umeme Jua wenye thamani ya shilingi milioni 801.74 katika visiwa vyote vitano vilivyopo wilayani Kilwa ikilenga kuongeza upatikanaji wa umeme katika maeneo hayo ambayo yapo mbali na Gridi ya Taifa na kuhamasisha matumizi ya teknolojia…


 
         
         
         
         
         
         
         
        