DAS MHANGA:SERIKALI INATOA FEDHA NYINGI KULINDA WATOTO
Na Mwandishi Wetu,MorogoroKATIBU Tawala wa Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, Saida Mhanga amesema, Serikali imetoa fedha nyingi kuhakikisha ulinzi wa mtoto unaimarika kwa kuwa, Tanzania imara ya kesho inategemea malezo bora ya watoto leo. Saida alitoa kaulio hiyo jana wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika na Siku ya Familia Duniani yaliyofanyika kwa…

