DIB YAWAITA WATEJA 428 WA FBME KUCHUKUA FEDHA ZAO
Na Mwandishi Wetu, Dodoma BODI ya Bima ya Amana (DIB) imewataka watu 428 ambao walikuwa wanachama wa benki ya FBME kwenda kuchukua fedha zao haraka ambazo ni takribani Sh Bilioni nne. Akizungumza leo Agosti 2, 2026 jijini Dodoma katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima Nane Nane,Mkurugenzi Mkuu wa DIB,Isack Kihwili alisema madai ya wenye…

