Hubert Kiwale

TAMASHA LA USAMBARA TOURISM FESTIVAL LASOGEZWA MBELE

Na Ashrack Miraji Lushoto Tanga Mkuu wa wilaya ya Lushoto,Mkoani Tanga,Jafar kubecha amewaomba radhi wananchi na wageni wote waliotarajia kuja kwenye tamasha la kitalii la “Usambara Tourism Festival” lenye lengo la kukuza uchumi hasa kwenye sekta ya utalii wilayani hapo. Kubecha amesema tamasha hilo ambalo lilipagwa kufanyika Julai 25-27 mwaka huu kuwa limesogezwa mbele kutoka…

Read More

Vijana 150 wapatiwa elimu ya uzalishaji wa mbogamboga kutoka shirika la SAIPRO Same

Na Mwandishi Wetu Vijana 150 Kutoka katika Kata 12 wilayani Same Mkoani Kilimanjaro wamepatiwa elimu ya uzalishaji wa mboga mboga lengo likiwa ni kujikwamua kiuchumi Kutoka shirika lisilokuwa la kiserikali la Saipro. Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa shirika hilo la Saipro Mwadhini Myanza wakati akizungumza kwenye maonyesho ya mbegu mbalimbali za mboga mboga kupitia mradi…

Read More

DC LUSHOTO ATWIKWA ZIGO LA DIWANI ANAYETUHUMIWA KUNYANYASA WANANCHI

Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Kitongoji cha Magamba Kata ya Magamba wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga,Mahamudu Kikoti ameiomba serikali kuchukua hatua juu ya diwani anayedaiwa kunyanyaswa wananchi Kwa kuwapora mali zao Kwa mabavu,jambo ambalo limepelekea wananchi kuishi kwa wasiwasi mkubwa. Kikoti ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari na kumwomba Mkuu wa Wilaya ya…

Read More

WAHUDUMU WA HOTEL MOSHI WALALAMIKA KUNYANYASWA NA WAAJIRI

NA MWANDISHI WETU, MOSHI Wahudumu wa hoteli wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wamelalamika kuhusu unyanyasaji unaofanywa na waajiri wao. Kulingana na malalamiko yao, wamekumbwa na changamoto kadhaa, ikiwa ni pamoja na kunyimwa bima ya afya na kukatwa fedha za mfuko wa Hifadhi ya Taifa (NSSF) bila waajiri kuziwasilisha ofisi husika,jambo walilodai kuathiri maisha yao kwa…

Read More

LHRC:Bajeti haina viashiria vya maendeleo

Na Aziza Masoud,Dar es SalaamKITUO Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema mwaka wa fedha wa 2024/25 wananchi wasitegemee maendeleo makubwa au miradi mipya kwakuwa kwakiasi kikubwa fedha zimeelekezwa zaidi katika matumizi ya kawaida na kulipana mishahara. Kauli ya LHRC imetolewa wakati wabunge wakijadili bajeti ya Sh Trilioni 49.35 iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha…

Read More

RUNGU LA DC SAME KUWASHUKIA WAZAZI WANAOTUMIA KESI ZA UKATILI WA KIJINSIA KWA WATOTO KAMA MTAJI KULIPANA FEDHA

Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe. Kasilda Mgeni amewaonya baadhi ya wazazi wanaotumia kesi za ukatili wa kijinsia kwa watoto kama mtaji kulipana fedha pindi anapofanyiwa ukatili kuacha mara moja tabia hiyo kwani kufanya hivyo kunapelekea kuathiri saikolojia na afya ya mtoto pamoja na kumfanya ashindwe kutimiza ndoto zake….

Read More