
Msajili Hazina: Tuyaishi mafunzo ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amewataka watumishi wa ofisi yake kuutumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kama nyenzo ya kufanyakazi kwa bidii na maarifa makubwa kwa faida ya Taifa la Tanzania. Mchechu aliyasema hayo Jumatatu, Machi 24, 2025 wakati wa hafla ya iftar kwa watumishi wa ofisi ya Msajili wa Hazina…