taifatz

SEMFUKO AWAHIMIZA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA YA UFUGAJI WA WANYAMAPORI

Na. Beatus Maganja  MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini – TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko amewahimiza watanzania kuchangamkia fursa za ufugaji wa wanyamapori zinazopatikana katika Taasisi ya TAWA. Ameyasema hayo jana Julai 13, 2024 alipotembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii Katika Maonesho ya 48 ya biashara…

Read More

PURA:Asilimia 80 ya wananchi  watatumia   nishati safi ifikapo 2034

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli(PURA) imeweka malengo yakuhakikisha ifikapo mwaka 2034 matumizi ya nishati  safi yakupikia kwa wananchi yafikie asilimia 80 ili kuweza kupunguza  matumizi ya nishati ambayo inachafua mazingira. Akizungumza katika jana Maonesho ya 48 ya Biashara maarufu kama Sabasaba Mkurugenzi Mkuu wa PURA Mhandisi Charles…

Read More

Zaidi ya Wananchi 200  wataka kuunganishwa huduma ya Fiber Sabasaba

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam ZAIDI ya wananchi   200 wamewasilisha maombi katika banda ka Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)  lililopo Viwanja vya Maonesho ya Mwalimu Nyerere maarufu kama Sabasaba kwa ajili yakuunganishwa na Fiber ya mtandao  wa intaneti  ambao ni nafuu zaidi. Akizungumza katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa Mkurugenzi  Mtendaji wa kampuni tanzu ya TTCL (T-PESA),Lulu  Mkudde amesema  katika  maonesho…

Read More

PURA kuongeza wawekezaji kwenye utafutaji gesi

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam  MAMLAKA ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imesema moja kipaumbele chao ni kuhakikisha wanaongeza  wawekezaji kwenye utafutaji wa gesi   kwa  lengo la kuongeza matumizi ya gesi asilia viwandani na majumbani. Akizungumza na waandishi wa habari alipotembelea kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kitaifa ya Dar es Salaam (DITF)  Mwenyekiti wa…

Read More

Maroboti yawa kivutio Sabasaba

Na Aziza Masoud ,Dar es Salaam IKIWA zimebaki siku mbili kufungwa kwa maonesho 48 ya biashara kimataifa maarufu kama Sabasaba miongoni mwa vitu ambavyo vimekuwa kivutio ni pamoja na maroboti yaliyopo katika  viwanja hivyo. Eneo hilo ambapo kuna  maroboti limekuwa kivutio na kusababisha kujaza watu wengi ambapo wapo ambao wanasema maonesho yaongezwe  siku huku wakiwataka watu waliopo majimbani…

Read More

NIC kuanza kampeni yakutoa elimu ya bima kwa wananchi

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Taifa la Bima (NIC),  Abdi Mkeyenge amesema mkakati wa shirika kwa sasa ni kuifikia jamii na kuwapa  elimu ya bima  kwakuwa  wananchi wengi hawana uelewa. Mkeyenge ametoa kauli hiyo alipotembelea katika banda la NIC lililopo katika  viwanja vya Maonesho  ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba,amesema  wamegundua wananchi wengi hawana…

Read More

Mwenda: OSHA tumejipanga kukuza uchumi

Na Mwandishi Wetu ,Dar es Salaam MTENDAJI Mkuu wa Wakala ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), Khadija Mwenda amesema wamejipanga kuhakikisha wanatoa huduma bora ambazo zitavutia wawekezaji na kukuza uchumi wa nchi.    OSHA wanashiriki katika maonesho ya biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kazi wanazofanya…

Read More