taifatz

MIZIGO YAONGEZEKA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Profesa Godius Kahyrara amesema kuwa kwasasa katika Bandari ya Dar es Salaam kunaongezeko kubwa la Meli na Mizigo hivyo Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) Kwa kushirikiana na Shirika la Reli (TRC) kuhakikisha wanaboresha Bandari Kavu ya Kwala. Kahyarara ameyasema hayo jana…

Read Full News

KIHENZILE AWAPONGEZA WAFANYAKAZI WIZARA YA UCHUKUZI UTEKELEZAJI MIRADI

Na Mwandishi Wetu, Dodoma  Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amewapongeza wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi pamoja na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kwa kufanya vizuri katika kufanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ambayo ni mikubwa na ya kimkakati. Kihenzile ameyasema hayo leo Machi 21 2025 wakati wa kufungua mkutano wa baraza la wafanyakazi wa…

Read Full News