
NI MIAKA MINNE YA NEEMA KWA MASHIRIKA YA UMMA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Dar es Salaam. Safari ya miaka minne ya uongozi wa Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imekuwa ya neema kubwa kwa taasisi za umma na hata kampuni ambazo serikali ina hisa chache. Ndoto ya Mhe. Dkt. Samia, tangu ashike hatamu mwezi Machi, 2021, imekuwa…