
WENYEVITI WA MITAA WARIDHISHWA NA UWEKEZAJI SEKTA YA MAJI WILAYA YA TEMEKE
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Temeke wamepongeza na kuridhishwa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali kwa Wizara ya Maji kupitia Mamlaka ya majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika uboreshaji wa huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira kwa wananchi katika Wilaya hiyo. Hayo…