
MNADA WA MADINI YA VITO KUZINDULIWA RASMI DESEMBA 14
Na Mwandishi Wetu,Manyara WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mnada wa madini ya vito unaotarajiwa kufanyika katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, ili kuyaongezea thamani madini hayo. Mnada huo ambao ulisimama kwa muda, umepangwa kufanyika tena kwa mara ya kwanza Desemba 14, 2024. Akizungumza leo Desemba 12,2024 Mavunde amesema madini ya…