
WATUMISHI WA NCAA WAPANDA MITI 1,000 NA MINGINE 10,000 WAGAIWA WANANCHI
Na Mwandishi Wetu, Arusha Watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) leo tarehe 28 Machi, 2025 wameunga mkono kampeni ya upandaji miti iliyozinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda tarehe 15 machi, 2025 kwa lengo la kutunza mazingira na kuboresha mandhari ya mkoa wa Arusha ambao ni kitovu…