
WATAHINIWA 134,390 KUFANYA MTIHANI KIDATO CHA SITA LEO
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam JUMLA ya watahiniwa 134,390 wamesajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha sita (ACSEE) mwaka 2025 unaotarajiwa kuanza leo Mei 5 hadi 26 mwaka 2025. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Dk.Said Mohamed alisema kuanza kufanyika Kwa mitihani hiyo ya…