taifatz

VIJIJI  VITANO VYALIPWA BILIONI  2 ZA MRABAHA KUTOKANA NA UZALISHAJI WA DHAHABU NYAMONGO

Nyamongo – Tarime Waziri wa Madini,Anthony Mavunde ataka fedha  zinazotolewa kama sehemu ya gawio la mrabaha kutoka katika mgodi zitumike katika miradi iliyoibuliwa na wananchi katika sehemu husika kwa ajili ya kuendeleza mipango ya maendeleo kwa wananchi . Hayo yamebainishwa leo Agosti 20, 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wilayani Tarime  mkoani Mara wakati wa  hafla fupi…

Read More

TCB YAAHIDI KUENDELEA KUISADIA SERIKALI KUWEZESHA WAKULIMA WADOGO,WAKATI KUPATA MIKOPO

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam  BENKI ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuhakikisha inawawezesha wakulima wadogo na wa kati kupata mikopo itakayowawezesha kuzalisha kwa tija mazao yao lakini pia kuyaongezea thamani yaweze kuuzwa ndani na nje ya nchi….

Read More

CHANGAMOTO UCHAKATAJI MKONGE KUPATIWA UFUMBUZI

Na Mwandishi Wetu,Tanga  Changamoto ya uhaba wa mashine za kuchakata Mkonge (korona) inayowakabili wakulima katika maeneo yao inatarajiwa kuwa historia hatua itakayochochea ongezeko la uzalishaji wa zao hilo. Hatua hiyo imetokana na ziara ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), ambao walitembelea miradi mbalimbali ikiwamo mashamba ya Vyama vya Ushirika…

Read More

TBS YAFUNGUA DIRISHA LA TUZO ZA UBORA KITAIFA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetangaza awamu ya tano ya mashindano ya tuzo za kitaifa za ubora ambapo washiriki watashindanishwa katika  vipengele  vitano ikiwemo kipengele cha kampuni bora ya mwaka. Akizungumza jijini leo  Agosti 14,Mkurugenzi  Mkuu wa TBS Dk.Ashura Abdul Katunzi amesema  tuzo hizo zilizoanza mwaka 2021 zina lengo  la kuwatambua na kuwapongeza watu binafsi  waliotoa mchango…

Read More

SEKRETARIETI YA MAADILI YAJIVUNIA VILABU VYA KUKUZA UADILIFU SHULENI,VYUONI

Na Nora Damian, Dodoma Sekteratieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema kupitia klabu za maadili zilizoanzishwa katika shule na vyuo mbalimbali nchini wanafunzi wamefundishwa elimu inayohusu uadilifu kwa lengo la kuja kupata viongozi waadilifu. Katika Maonesho ya Wakulima na Wafugaji Nanenane yaliyofanyika kitaifa jijini Dodoma, sekretarieti hiyo iliambatana na wanafunzi wa klabu za maadili…

Read More

TSB YAANZISHA ‘SPECIAL MKONGE BBT’

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB) imeanzisha mradi maalumu wa Jenga Kesho iliyo Bora kupitia Zao la Mkonge (Special Mkonge BBT) ambayo inahusisha makundi ya wanawake, vijana na wenye ulemavu.  Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mkonge, Saddy Kambona amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika banda la TSB kwenye Maonesho ya…

Read More