
TCAA INAVYOENDELEA KUPAMBANA NA UHABA WA MARUBANI WAZAWA
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam TAKRIBANI vijana 23 wamepata udhamini wa kusomea masomo ya urubani kupitia Mfuko wa Mafunzo wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA Training Fund) huku wanne kati yao na wameshaajiriwa na mashirika mbalimbali ya ndege yaliyopo nchini. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA),Salim Msangi ametoa takwimu hizo jana wakati akitoa taarifa kwa vyombo…