MJUMBE WA BODI COSOTA AHOFIA UTAYARI WA KAZI WA MKURUGENZI ALIYETEULIWA
NA MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM MATARAJIO ya Serikali katika kuinua sekta ya Sanaa, Ubunifu kupitia Haki Miliki Tanzania (COSOTA) huenda yakaingia majaribuni baada ya Mkurugenzi wake Mteule Loy Mhando kutokuwa tayari kwenda kufanyakazi katika eneo hilo. Mjumbe huyo wa Bodi alieleza wasiwasi wake kwa sharti la kutotajwa jina na kueleza kuwa hivi karibuni Waziri wa Habari,…

