PROFESA MKENDA AWAAGA WANAFUANZI WANAOENDA KUSOMA AFRIKA KUSINI
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Adoph Mkenda amewataka vijana 16 wanaoenda masomoni nchini Afrika Kusini kupitia ufadhili wa masomo wa Samia Scolarship kusoma kwa bidii ili kuweza kusaidia kuendelea kuleta mapinduzi ya teknolojia nchini. Vijana hao ni kati ya 100 waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya sayansi na…

