
SHULE 216 ZA SERIKALI ZATUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA-KAPINGA
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Naibu Waziri Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema hadi kufikia mwezi Machi 2025 takribani Shule za Serikali 216 zimehamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo kati ya hizo, Sekondari 146 zinatumia gesi ya LPG. Kapinga ameyasema hayo Leo Mei 7, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la la Mbunge wa…