
NIDA YAMNASA ALIYEKUWA ANATENGENEZA VITAMBULISHO BANDIA
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imekamata mtu mmoja aliyekuwa akitoa huduma ya kutengeneza vitambulishi vya Taifa katika eneo la Chalinze kinyume na sheria. Akizungumza leo Mei 2, 2024, Msemaji na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano NIDA, Geofrey Tengeneza amesema mtuhumiwa huyo aitwaye Danford Mathias mkazi wa Chalinze mkoani Pwani…