KATIBU MKUU KIONGOZI KUFUNGUA MAFUNZO KWA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KATIBU Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dk. Moses Kusiluka anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo ya siku nne kwa watendaji wakuu wa taasisi, mashirika ya umma na wakala wa serikali. Mafunzo hayo yatakayofanyika kuanzia Julai 28-31, 2025 katika shule ya uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha, mkoani Pwani, yanaratibiwa na…

Read Full News

BODABODA WANAOBEBA MIZIGO MIKUBWA WAONYWA

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kimekemea tabia ya baadhi ya madereva wa pikipiki kubeba mizigo hatarishi inayozidi ukubwa wa vyombo vyao kama milango, mageti au makabati kwakuwa  inachangia kusababisha ajali za barabarani. Kauli hiyo ameitoa mwanzoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Usalama Barabarani Chang’ombe,…

Read Full News

TANZANIA KUWA NA MASHIRIKA YA UMMA YENYE USHINDANI IFIKAPO 2050

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam IFIKAPO mwaka 2050, Tanzania inajiona kuwa na Mashirika ya umma ya kibiashara yanayoendeshwa kwa uwazi na ushindani, yanayojitegemea na yenye kuleta faida, na yanayovutia uwekezaji huku yakishirikiana kikamilifu na sekta binafsi ili kukuza uchumi. Dhamira hii imeainishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 iliyozinduliwa na Mhe. Rais. Dk. Samia…

Read Full News