TEKNOLOJIA YA KISASA YATAJWA KUWA KIKWAZO KUENDELEZA UCHUMI WA BULUU

Na Aziza Masoud,Dar es salaam SERIKALI imesema  ukosefu wa teknolojia za kisasa,takwimu sahihi na uelewa mdogo wa wananchi kuhusu fursa zilizopo katika uchumi wa buluu ni changamoto kubwa katika sekta ya bahari hivyo imewataka wadau kuzitafutia ufumbuzi. Akizungumza leo Septemba 10, 2025 katika uzinduzi wa  Kongamano la Uchumi wa Buluu lililoandaliwa na  Chuo cha Bahari…

Read Full News

WANANCHI TUNZENI BARABARA KWA KUZIFANYIA USAFI: MHANDISI MATIVILA

Na Mwandishi Wetu,Mwanza NAIBU Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu Mhandisi Rogatus Mativila amewataka wananchi kuhakikisha wanazitunza barabara kwa kuzifanyia usafi ili zidumu kwa muda mrefu. Mhandisi Mativila ameyasema hayo leo wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa miundombinu ya barabara zinazosimamiwa na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) katika wilaya ya Ukerewe mkoani…

Read Full News