FCC KUENDELEA KUIMARISHA MAZINGIRA YA WAFANYABIASHARA NCHINI

Na Aziza Masoud,Dar es Salaa. KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC) Hadija Juma Ngasongwa amesema taasisi hiyo  imekuwa ikisimamia wawekezaji wa ndani ya nchi kupitia sheria madhubuti  zinazosimamia uwekezaji ili kusaidia kuimarisha sekta ya biashara nchini. Akizungumza na waandishi wa habari  leo Julai 4,  2025 katika banda la FCC katika  Maonesho ya 49…

Read Full News

WAZIRI RIDHIWANI ATOA WITO KWA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO

Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ametoa wito kwa vijana kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo ikiwemo mikopo na mifuko mbalimbali ya uwezeshajiWananchi kiuchumi. Mhe. Kikwete ametoa wito huo wakati alipotembelea Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuuu lililopo katika…

Read Full News

MAZINGIRA WEZESHI YA SERIKALI YAFUNGUA FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI KUPITIA TAWA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuimarisha mazingira bora na wezeshi kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, hatua inayolenga kukuza uchumi wa Taifa kupitia sekta mbalimbali, hususan sekta ya…

Read Full News

WANANCHI WA MOROGORO MJINI ‘WALIA’ NA UZINDUZI ‘ WA KISIMA KISICHOTOA MAJI

Na Mwandishi Wetu,Morogoro WANANCHI WA Kata ya Tungi Katika Manispaa ya Morogoro wamelalamikia kitendo kilichofanywa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Morogoro Abdulaziz Abood cha ‘kuwalaghai’ kwa kuzindua kisima ambacho hakitoi maji tangu alipokizindua. Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutoandikwa majina yao na vyombo vya habari, wananchi hao wamedai Kisima hicho kilichopo katika Kituo…

Read Full News