
WIZARA YA NISHATI YATAJA MAFANIKIO UTEKELEZAJI MAJUKUMU 2024/2025
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametaja mafanikio yaliyopatikana katika Wizara kwa mwaka 2024/2025 mojawapo ikiwa ni kuimarika kwa uzalishaji wa umeme. Akiwasilisha mafanikio hayo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Njshati na Madini, leo Machi 21 jijini…