
MHANDISI MILANDU:NJOONI IRINGA FURSA ZA MADINI ZIPO
Na Mwandishi Wetu,Iringa MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika mkoa wa Iringa yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha 2024/2025 yamefikia shilingi milioni 698.05 ikiwa ni asilimia 58.2 ya lengo walilowekewa. Akizungumza katika mahojiano maalum, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Iringa, Mhandisi AbdulRahman Milandu amesema Mkoa…