BANDARI YA UVUVI YA KILWA KULETA MAPINDUZI YA SEKTA YA UVUVI TANZANIA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam. UJENZI wa Bandari ya kwanza ya uvuvi nchini Tanzania, Kilwa Masoko, iliyoko kwenye Pwani ya Bahari ya Hindi katika mkoa wa Lindi, uko karibu kukamilika, ikiwa tayarii umeshafikia asilimia 70. Mradi huu ni unatajwa kama hatua muhimu katikamkakati wa Tanzania wa kukuza sekta ya uvuvi wa bahari kuuna kuboresha maisha…