
TCAA YAADHIMISHA SIKU YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI KWA KUSHIRIKI MBIO ZA MARATHON UDSM
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) imetumia Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani(ICAD) kushiriki katika mbio za Marathon zilizoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Mbio hizo zilizoongozwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko, zilihudhuriwa pia na Rais mstaafu wa awamu ya nne…