
KAILIMA AWAITA WANANCHI WA DAR ES SALAAM KUJITOKEZA KUHAKIKI, KUBORESHA TAARIFA ZAO DAFTARI LA WAPIGA KURA
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MKURUGENZI wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima amewataka wananchi wenye sifa za kupiga kura hapa nchini kujitokeza kwenda kuhakiki na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Awali la Mpiga Kura lililowekwa kwenye kila Kata kwa ajili ya wananchi kuhakiki taarifa zao kwa usahihi Kailima amezungumza hayo…