TCB YAPATA FAIDA YA SH BILIONI 44

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imetengeneza faida ya Sh Bilioni 44 kabla ya kodi katika mwaka wa fedha uliopita huku ikisisitiza kuwa kiasi hicho ni kikubwa zaidi kuwahi kutokea. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Machi 26, 2025  wakati wa mkutano wa 33 wa wanahisa wa benki hiyo Mkurugenzi Mtendaji…

Read More

WANANCHI LINDI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MADINI

Na Mwandishi Wetu,Lindi WANANCHI wa Mkoa wa Lindi wametakiwa kuacha uvivu na badala yake wachangamkie fursa zilizopo kwenye sekta ya  madini hususani katika mgodi wa kati  wa Elianje uliopo kitongoji cha Namungo, Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti  wa  Kijiji  cha  Chingumbwa, kilichopo Kata ya Namungo, Abdallah Rashid akielezea fursa zilizopo…

Read More

MADINI YA ALMASI YA SH BILIONI 1.7 YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA

Na Mwandishi Wetu,Mwanza Madini ya almasi yenye thamani ya zaidi ya Sh1.7 bilioni yamekamatwa yakitoroshwa kupitia Uwanja wa ndege wa Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari ljumaa usiku,Mei 23, 2025, Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema madini hayo yalikamatwa Mei 18, 2025 kwa ushirikiano kati ya vyombo vya ulinzi na taasisi mbalimbali za Serikali na…

Read More