
MSAJILI WA HAZINA AONGOZA MAZUNGUMZO YA UWEKEZAJI NA KAMPUNI YA USWISI
Na Mwandishi Wetu,Abidjan MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, leo, Mei 14, 2025, ameongoza mazungumzo ya kitaalamu kati ya Serikali ya Tanzania na Bw. Soren Toft, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mediterranean Shipping Company (MSC), kuhusu uwekezaji wa kimkakati katika Bandari ya Dar es Salaam na Mangapwani–Zanzibar. Mazungumzo hayo na kampuni ambayo makao yake makuu yapo Geneva,…