
AZAKI KUKUTANA ARUSHA KUJADILI UTAWALA BORA
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam ASASI za Kiraia (Azaki) zinatarajiwa kukutana kwa siku tano jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya taasisi hizo ambapo miongoni mwa mambo wanayoyatarajia kuyazungumzia ni pamoja na pamoja na Utawala Bora. Akizungumza jijini Dar es Salaam Leo Mei 22, 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Foundation For…