UVCCM KUCHAGUA WABUNGE NA WAWAKILISHI KUNDI LA VIJANA LEO
Na Asha Mwakyonde, DODOMA UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Taifa leo unafanya Mkutano Mkuu Maalum wakuchagua wabunge kundi la vijana na wawakilishi wa kundi hilo kupitia Jumuiya ya UVCCM. Mkutano huo utahudhuriwa na wajumbe 438 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar ambao watapiga kura katika Mkutano Mkuu Maalum. Hayo yalisemwa jana jijini hapa…

