NLD YAANIKA VIPAUMBELE VYAKE KWENYE ILANI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kimezindua rasmi Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ikiwa ni hatua muhimu kuelekea katika mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyowasilishwa Leo Agosti 6 na uongozi wa chama hicho, Ilani hiyo…

