SOMA GAZETI ZIMA LA TAIFA TANZANIA IJUMAA AGOSTI 29/2025
Marufuku Hospitali kuzuia Maiti <> Ni ahadi ya Dk. Samia ndnai ya siku 100 za mwanzo akipewa ridhaa kuongoza nchi
Marufuku Hospitali kuzuia Maiti <> Ni ahadi ya Dk. Samia ndnai ya siku 100 za mwanzo akipewa ridhaa kuongoza nchi
Na Mwandishi Wetu,Manyara SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeendelea kutekeleza miradi ya nishati kwa kuunganisha wateja umeme katika maeneo ya vijijini ili kuboresha na kuhamasisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi mkoani Manyara. Hayo yamebaibishwa leo Agosti 27, 2025 na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu…
Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa,Mohammed Ali Kawaida (MCC) amezindua Mfumo wa kisasa wa Kijani Ilani Chatbot ambao utaenda utawarahisishia vijana kufahamu mambo yaliyofanywa na serikali 2020-2025 na yanatarajiwa kufanywa 2025-2030 kupitia CCM kwakutumia vifaa vya mawasiliano popote alipo. Akizungumza wakati wa Uzinduzi huo uliofanya…
Na Mwandishi Wetu,Morogoro Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) unaelezwa kuboresha miundombinu katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro hasa baada ya ujenzi wa barabara na mitaro ya maji ya mvua. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Morogoro, Bw. Emmanuel Mkongo ambapo ameeleza kuwa miradi ya ujenzi wa mifereji ya maji ya…
Na Mwandishi Wetu,Dodoma MKURUGENZI Mtendaji wa Jiji la Dodoma, Dkt. Fredrick Sagamiko ameeleza kuwa ujio wa mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) umekuwa na manufaa makubwa kwa kuwa sehemu ya utatuzi wa changamoto mbalimbali katika jiji hilo. Akizungumza katika mahojiano maalum kiongozi huyo amebainisha kuwa miongoni mwa miundombinu inayojengwa ni pamoja na barabara…
Na Mwandishi Wetu,Dodoma AHADI ya Serikali ya kufikisha umeme wa gridi ya taifa katika Wilaya zote za Mkoa wa Kagera imetekelezwa baada ya Serikali kusaini mikataba ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 kutoka Benako, Ngara hadi Kyaka wilayani Misenyi na kituo cha kupoza umeme cha Benako cha msongo wa…
Na Mwandishi Wetu,Tabora Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Dkt. John Pima amesema kuwa kiasi cha shilingi Bilioni 19.9 zilizopelekwa mkoani humo kupitia mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) zimeleta mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi mkoani hapo. Akielezea mafanikio hayo, Dkt. Pima amebainisha kuwa miundombinu inayotekelezwa chini ya mradi wa TACTIC…
Na Mwandishi Wetu,Dodoma TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa taarifa kwa umma kufuatia uvumi unaosambaa mitandaoni ukidai kwamba mfumo wa uchaguzi nchini umeunganishwa na mifumo mingine ikiwemo wa NIDA na chama kimoja cha siasa, na kwamba zoezi la kupiga kura tayari limekamilika. Taarifa ya INEC imetolewa siku moja baada ya aliyekuwa Balozi wa…
Na Mwandishi Wetu, Ruvuma WANANCHI wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, wameanza kunufaika na uboreshaji wa miundombinu kupitia Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC), unaotekelezwa chini ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa mkopo nafuu toka Benki ya Dunia. Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Songea, Wakili Bashir Muhoja, akizungumza manufaa…