
ENVAITA ILIVYOFANYA MAPINDUZI YA KIDIGITALI
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam JAMII imetakiwa kubadilika na kuacha kutumia njia za kizamani zakualika watu katika matukio mbalimbali badala yake watumie njia zakidigitali ili kuokoa muda na kupunguza usumbufu. Akizungumza leo Aprili 28, 2025 Meneja wa Mawasiliano wa Envaita Praygod Mushi amesema utumiaji wa mialiko ya kadi kwa njia ya kidigitali unaokoa mambo mengi…