
SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI HAIJATOA HURUMA KWA WASIO NA SIFA ZA KITAALUMA-KINGOBA
Na Mwandishi Wetu, JAB Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016, haijatoa fursa ya kuwafikiria Waandishi wa Habari au watu wanaofanya kazi za kihabari, bila kukidhi vigezo vya kielemu hususan kiwango cha chini cha Astashahada ya Uandishi wa Habari (Diploma) kutoka Vyuo vya Uandishi wa Habari vinavyotambulika. Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 28 Aprili,…