
TANZANIA,ZAMBIA KUSHIRIKIANA KUDHIBITI UINGIZWAJI HOLELA WA MAZAO YA MISITU
Na Mwandishi Wetu, Ndola Serikali ya Tanzania, kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imeweka msingi wa suluhisho la kudumu kukabiliana na changamoto ya uingizwaji wa mazao ya misitu kutoka Zambia bila vibali halali. Hatua hiyo imefikiwa baada ya kikao kazi maalumu kilichofanyika leo Julai 7, 2025, pembeni mwa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara…