
RAIS DK.SAMIA KUZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajia kuzindua bandari kavu ya Kwala iliyopo mkoani Pwani pamoja na kuanza kwa safari za treni ya mizigo ya reli ya kisasa(SGR) kati ya Dar es Salaam na Dodoma. Akizungumza jijini Dar es Salaa. leo Julai 25, 2025 Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa…