SERIKALI YAWATAKA WAKUU WA TAASISI ZA UMMA KUTENGENEZA RAFIKI YA KAZI

Na Mwandishi Wetu, Pwani SERIKALI imewataka wakuu wa taasisi za umma kutengeneza mazingira rafiki ya kazi yatakayowawezesha watumishi kuongeza tija na ubunifu katika utekelezaji wa majukumu yao. Kauli hiyo ilitolewa na Mhe. Ridhiwani Kikwete, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, alipokuwa akifunga mafunzo elekezi ya siku nne kwa…

Read More

INEC YAZITAKA ASASI ZA KIRAIA KUTOA MAWAZO YATAKAYOEPUSHA DOSARI KWENYE UCHAGUZI

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wawakilishi wa taasisi na asasi za kiraia   kuhakikisha  wanatoa mawazo ambayo yatasaidia kuepusha dosari ambazo zinaweza kujitokeza na kuathiri utekelezaji wa shughuli za uchaguzi. Akizungumza leo Julai 30, 2025 wakati wa kufungua kikao cha wadau hao,Mwenyekiti  wa INEC Jaji wa Rufani…

Read More

MAGESE:UREMBO SIO UHUNI

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam  MKURUGENZI wa Kampuni ya MILLEN ,Millen Happiness Magese ameishauri jamii kuachana na fikra potofu kwamba urembo ni uhuni kwakuwa majukwaa hayo yanahamasisha wanawake kujitambua na kujiamini. Millen ambaye ndiye muandaaji wa shindano la Miss Universe kwa upande wa Tanzania alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na wa…

Read More