MHA. MRAMBA AKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KUHARAKISHA MIRADI YA JOTOARDHI NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Na Mwandishi Wetu,Canada, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mha. Felchesmi Mramba, amefanya mazungumzo na wadau mbalimbali wa sekta ya nishati kuhusu fursa za kuendeleza miradi ya jotoardhi na kuimarisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini Tanzania. Mazungumzo hayo yamefanyika pembeni mwa Mkutano wa Dunia wa Jotoardhi (World Geothermal…

