
WAZIRI RIDHIWANI ATOA WITO KWA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO
Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ametoa wito kwa vijana kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo ikiwemo mikopo na mifuko mbalimbali ya uwezeshajiWananchi kiuchumi. Mhe. Kikwete ametoa wito huo wakati alipotembelea Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuuu lililopo katika…