RAIS DK.SAMIA KUFUNGUA SOKO LA KARIAKOO
Na Aziza Masoud,Dar es salaam RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara mkoani Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine atafungua soko kuu la Kimataifa la Kariakoo ambalo ujenzi wake umekamilika mwishoni mwa mwaka jana. Kufuatia ufunguzi huo wafanyabiashara wa biashara ndogondogo waliopo katika soko hilo ambao wamefunga njia zakuingilia kwenye soko wametakiwa kuondoka…

