TANESCO YAANZA RASMI ZOEZI LA KULIPA FIDIA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA MIRADI YA UMEME

Na Mwandishi Wetu,Tunduru Jumla ya wananchi 1,526  wanatarajia kunufaika na malipo ya fidia ya shilingi Bilioni 4.7 baada ya kupisha Mradi wa ujenzi wa njia kubwa ya kusafirisha umeme wenye msongo wa Kilovoti 220 kutoka Tunduru hadi Masasi na ujenzi wa Kituo kipya cha kupoza umeme cha Masasi kilichopo Mkoani Mtwara. Akizungumza baada ya wananchi…

Read More

KAMPENI YA ‘TOBOA KIDIGITALI’ YA TCB  KUHAMASISHA MATUMIZI HUDUMA KIDIGITI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salam BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua kampeni mpya ya kitaifa iitwayo “Toboa Kidijitali,” yenye lengo la kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kisasa ya kufanya miamala ya kifedha na kuongeza ujumuishi wa kifedha nchini. Kampeni hiyo ambayo ina lengo pia lakurudisha sehemu ya faida katika jamii itadumu  kwakipindi cha miezi minne…

Read More

DCEA YAKAMATA TANI 14 ZA KEMIKALI BASHIRIFU

Na Aziza Masoud,Dar es SalaamMAMLAKA ya Kupambana na Kudhibiti Madawa ya Kulevya (DCEA) kwakushirikiana na vyombo vingine vya dola, wamefanikiwa kuzuia tani 14 za kemikali bashirifu zilizokuwa ziingizwe nchini kinyume cha sheria. Akizungumza na waandishi wa habari jana Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa DCEA Kamishna Jenerali Aretas Lyimo alisema mpaka sasa operesheni hiyo…

Read More