SERIKALI KUANZISHA JUKWAA LA KIDIGITALI KUWAFIKIA VIJANA

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam WIZARA ya Vijana imejipanga kuhakikisha inawafikia vijana kwa urahisi   kwakuanzisha Jukwaa la Kidigitali la Huduma Jumuishi  (Youth Digital One Stop Platform) ili kuwezesha upatikanaji wa taarifa za ajira,mafunzo,fursa za mikopo,masoko na huduma nyingine. Akizungumza jana Waziri wa Vijana Joel Nanauka alisema katika falsafa ya wizara  ya utoaji wa huduma,…

Read More

MAMBO:DEMOKRASIA HAIDAIWI KWA VITISHO

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WATANZANIA  wameaswa kutofuata mikumbo na kufanya vurugu kwakigezo chakutafuta uhuru wa kisiasa kwakuwa demokra ya kweli haijengwi kwa mashinikizo, vitisho au siasa za misimamo mikali, bali hudaiwa kwakujenga hoja, ushindani wa sera na heshima kwa katiba na sheria za nchi. Akizungumza jijini Dar es Salaam l3o Desemba 23, 2025 aliyekuwa…

Read More

MAYAMBA KUWAWEZESHA VIJANA KIUCHUMI.

Na Mwandishi Wetu,Misenyi Mkuu wa Wilaya Misenyi Hamis Mayamba Maiga amewezesha Vijana kibiashara katika Wilaya hiyo kwa kuwapatia Mahema ili kuboresha Mazingira ya kibiashara nakuweza kukuza Uchumi wao. Mradi huo unatekelezwa na TCCIA Wilaya Misenyi kwa ushirikiano na AGRA, ukiwa na lengo la kukuza biashara za mpakani na kuongeza usalama wa shughuli za kiuchumi. ‎‎Uzinduzi…

Read More

REA, TANESCO WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUONGEZA IDADI YA WATEJA VIJIJINI

Na Mwandishi Wetu,Arusha MWENYEKITI wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ametoa rai kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutoa kifaa maalum (Ready boards) ambacho kitawezesha wananchi kusaidia kupunguza gharama kubwa za kuunganisha mfumo wa kupokelea umeme nyumbani (wiring) kwenye miradi ya umeme vijijini….

Read More