
ALI NURDINI ‘SIX’ AJITOSA UBUNGE KONDOA MJINI
Na Mwandishi Wetu, Kondoa MAKADA watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM),wamejitokeza na kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania Ubunge wa jimbo la Kondoa mjini,wakiongozwa na Mkurugezi wa Idara ya Habari elimu na mawasiliano kwa umma wa Taasisi ya mabalozi wa Usalama barabarani (RSA)Ali Nurdin maarufu ‘Six’. Wanahabari walioweka kambi katika ofisi za…